top of page

NEWS

ON THE WAY TO ELECTION
20.09.2015

Tukiwa tumebakisha siku 35 ili kuifikia ile siku ambayo inasubiliwa na wa Tanzania wote ili kumchaguwa mtu au kiongozi wake kwa maendeleo yake na ya taifa lake kwa vizazi vya leo au kesho.

kila mgombea anajinadi kwa sera zake na ahadi zake kwa wananchi na kwa taifa letu la Tanzania.....

Huamuzi ni wako na jukumu ni lako 2015 ni wakat wako hasa vijaan......

© 2015 by AZIZDAUDY. Proudly created with Daudysky

bottom of page