HOME
MUSIC
SHOWS
NEWS
GALLERY
CONTACT
SOCIAL
More
Mgombea Mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akikagua zahanati ya Kasanga kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji cha Kasanga mkoani Rukwa jana. Kulia ni tabibu msaidizi wa zahanati hiyo, Eliudi Humbo.